Mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha lugha ya kiswahili sanifu nchini Burundi
/ par Pascasie Hatungimana ; J Dorothée Nshimirimana, directeur
. - Bujumbura : Université du Burundi, Faculté des Lettres et Sciences Humaines, Département des Langues et littératures Africaines, 2018
. - VII-70 f. ; 30 cm.
Mémoire présenté et défendu publiquement en vue de l'obtention du grade de Licencié en Langues et Littératures Africaines.
RESUME,
Utafiti huu ulifanyika kwa lengo la kuweka wazi mchango wa vymbo vya habari katika kukuza na kuimarisha lugha ya Kiswahili sanafu nchini Burundi.Utafiti huu ulifanyika katika baadhi ya vyombo vya habari vya kiserikari na kuria Katika kazi hii nilijaribu kuchunguza misingi mikuu inaocangia katika kuimarisha lugha ya kiswahili sanifu katika vyombo vya habari Utafiti huu ulionyesha kuwa muda unaotolewa kwa vipindi vya Kiswahili ,taarifa matangazo hautoshi ukilingalisha na muda unaotolewa kwa vipindi na taarifa zinazotolewa katika lugha zingine za Kirundi za Kirundi na Kifaransa.Kazi hii ilisaidia pia kuweka wazi umuhimu wa matumizi ya lugha ya kiswahili sinafu kwa wanajamii wa Burundi wanaosikiliza vipindi,matangazo na taarifa za habari zinazotolewa katika vyombo vya habari. Katika utafiti huu,tuliona kuwa kuna makosa mengi yanayofanywa na baadhi ya watayarishaji na watangazaji wa vipindi vya kiswahili katika kazi yao kwa sababu ya kutosoma sarufi ya Kiswahili katika kazi yao kwa sababu ya kutosoma.sarufi ya kiswahili na uhaba wa vitendeakazi.Katika kazi hii nilijaribu kukusanya baadhi ya makosa hayo na kuyakosoa.Utafiti huu uliwaka wazi changamoto zinazowakabili watayarishaji na watangazaji wa vipindi vya kiqswahili.Kufuatia changamoto hizo,kuna mapendezeko yaliyotolewa katika lengo la kuimarisha na kukuza luhga ya kiswahili sanifu kupitia vyombo vya habari.